News

Makardinali 133 waliokusanyika kutoka nchi 70 duniani waliendesha mchakato huo wa siri, wakitafuta kupata mshindi kwa ...
Ongezeko hili la asilimia 35.1, ambalo litaanza kutumika Julai mwaka huu 2025, linatarajiwa kuleta mabadiliko katika maisha ...
Lema anatajwa kuwa miongoni mwa viongozi waliohudumu kwa muda mrefu katika wadhifa huo, akihudumu kuanzia mwaka 2009 na chini ...
Utafiti ulifanyika kwa ushirikiano na Hospitali ya Shirati KMT iliyopo mkoani Mara kwa ushirikiano wa karibu na Mganga ...
Kamanda Abwao aliongeza kuwa makosa makubwa ya jinai kwa mwaka 2024 yalikuwa 1,592, yakilinganishwa na 1,602 kwa mwaka 2023, ...
Amesema kwa mujibu wa sheria za forodha, mali inayokamatwa inapaswa kulipiwa ndani ya siku 90, na endapo hilo halitafanyika, ...
Mwenyekiti huyo alidai kuwa wakala alichukua pesa za watu zaidi ya Sh300 milioni kwa watu zaidi ya 70 wengine wakiwa wamekata ...
Hata hivyo, baadhi ya wanasiasa na wachambuzi wanaona Chadema itatetereka kwa kiasi fulani hata kama haitashiriki uchaguzi, kwa kuwa makada hao ndio walikuwa kama injini kwenye uongozi wa Mbowe.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema sera mpya ya mambo ya nje ...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi amesema kuwa kuanzia mwaka wa fedha 2025/26, Mfuko ...
Tanzania imepoteza mmoja wa nguzo muhimu za historia yake, Cleopa Msuya, aliyewahi kushika nafasi ya Waziri Mkuu wa Tanzania ...
Wakati Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, ikiomba Baraza la wawakilishi kuidhinisha Sh120.89 bilioni mwaka 2025/26, Serikali imesema inaendelea kuchukua hatua mahususi kudhibiti mfumuko wa bei ...