Mwili wa askari mmoja haukupatikana eneo la tukio, ikielezwa huenda uliliwa na wanyama kwa kuwa kilipatikana kipande cha ...
Miili ya marehemu ilitolewa kutoka shimoni na kuhifadhiwa katika Hospitali ya Somanda mjini Bariadi, huku majeruhi akitibiwa ...
Akizungumzia madai kwamba Chadema imekuwa na msimamo legevu dhidi ya Serikali tangu yeye kukutana na Rais Samia, Mbowe ...
Nida imefanya kazi ya uzalishaji na usambazaji wa vitambulisho vya taifa kwa umma tangu Oktoba 12, 2023, na linatarajiwa ...
Gari hilo aina ya Tata, lilikuwa limeteleza na kuacha barabara lakini halikusababisha madhara yoyote kwa binadamu.
Baada ya kuwepo kwa tetesi kuhusiana na tuzo za Oscars kuahirishwa kufuatiwa na tukio la moto lililotokea jijini Los Angeles ...
Winga wa Manchester United, Amad Diallo ameisaidia timu yake kupata ushindi baada ya kuifungia mabao matatu hat trick katika ...
Yanga imekamilisha usajili wa mshambuliaji anayemudu pia kucheza winga wa kushoto, Jonathan Ikangalombo kutoka AS Vita, ...
Tabia ya kujinyima chakula kupita kiasi, wanaweza kula na kisha hukimbilia chooni kujitapisha au kunywa dawa za kujilazimisha ...
Droo ya mashindano ya mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN) 2024, itakayofanyia Agosti mwaka huu, imefanyika juzi ...
Kikosi cha Simba kinaendelea kujifua kwa ajili ya mchezo wa mwisho wa Kundi A katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, ...
Hatimaye Askari wa Jeshi la Polisi wamewasili katika Ukumbi wa Ubungo Plaza, kuimarisha ulinzi. Katika hali isiyokuwa ya ...