News
Makardinali 133 waliokusanyika kutoka nchi 70 duniani waliendesha mchakato huo wa siri, wakitafuta kupata mshindi kwa ...
Utafiti ulifanyika kwa ushirikiano na Hospitali ya Shirati KMT iliyopo mkoani Mara kwa ushirikiano wa karibu na Mganga ...
Mwaka 2022 akiwa kidato cha pili afya ilizidi kutetereka, ikamlazimu kukatisha masomo ili kupata tiba. Aliporejea shuleni ...
Kuna jumla ya makardinali 135 wenye haki ya kupiga na kupigiwa kura lakini wanaoshiriki ni 133, wakiwamo kutoka nchi 15 ...
Wizara hiyo imeliomba Bunge kuwaidhinishia Sh519.66 bilioni huku miradi ya maendeleo ikitengewa Sh458.19 bilioni.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema sera mpya ya mambo ya nje ...
Kamanda Abwao aliongeza kuwa makosa makubwa ya jinai kwa mwaka 2024 yalikuwa 1,592, yakilinganishwa na 1,602 kwa mwaka 2023, ...
Amesema kwa mujibu wa sheria za forodha, mali inayokamatwa inapaswa kulipiwa ndani ya siku 90, na endapo hilo halitafanyika, ...
Mwenyekiti huyo alidai kuwa wakala alichukua pesa za watu zaidi ya Sh300 milioni kwa watu zaidi ya 70 wengine wakiwa wamekata ...
Ongezeko hili la asilimia 35.1, ambalo litaanza kutumika Julai mwaka huu 2025, linatarajiwa kuleta mabadiliko katika maisha ...
Lema anatajwa kuwa miongoni mwa viongozi waliohudumu kwa muda mrefu katika wadhifa huo, akihudumu kuanzia mwaka 2009 na chini ...
Bodi ya Kahawa Tanzania (TCB) imetangaza bei elekezi ya zao la kahawa, kahawa ghafi ya Arabika (CPU-parchment) imepanda ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results