News
Jamhuri ya Afrika ya Kati leo Agosti 13, 2025 imekuwa timu ya pili kuaga Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani (CHAN) 2024 ikifuata nyayo za Nigeria.
Mkataba mpya wa mwaka mmoja ambao Azam FC imempatia kiungo Feisal Salum hapana shaka unamfanya awe mchezaji ghali zaidi ndani ...
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Philip Mpango amemwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Dharura wa Pamoja wa ...
Zaidi ya miradi 68 ya maendeleo yenye thamani ya Sh26.54 bilioni inatarajiwa kutembelewa, kukaguliwa na kuzinduliwa na Mwenge ...
Kampuni ya teknolojia ya OpenAI, inayomiliki programu ya akili unde Chatbot ya ChatGPT imekuja na sasisho jipya (New Update) ...
Serikali imesema inajipanga kuwa kitovu cha utengenezaji wa bidhaa na huduma migodini kwa nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara ...
Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, imepanga kuanzisha mfuko wa ruzuku kwa ...
Kamisheni ya Ziwa Victoria (LVBC), imesema ujenzi wa meli mpya ya MV New Mwanza ‘Hapa Kazi Tu’ na maboresho ya miundombinu ya ...
Zaidi ya wakazi 6,865 wa vijiji vya Sapiwi na Mwandama katika halmashauri ya wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu,wameondokana na ...
Vuguvugu la kupinga uchaguzi mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF), limeanza kukolea baada ya wadau mbalimbali ...
Mgombea urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Salum Mwalimu ametembelea nyota ya kisiasa ya mwanasiasa mkongwe ...
Ikiwa ni siku ya tatu tangu watu 25 wafukiwe chini ya ardhi katika mgodi wa wachimbaji wa dhahabu wa kikundi cha Wachapakazi ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results