DAR-ES-SALAAM : WATAALAMU wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) wamepewa mafunzo jinsi ya kuziba matundu ...
MAREKANI : TAKRIBAN wanahabari 67 wanafungwa barani Afrika, ikiwa ni sehemu ya changamoto inayoendelea ya uhuru wa vyombo vya habari.
PAKISTAN : MAHAKAMA nchini Pakistan imemuhukumu Waziri Mkuu wa zamani, Imran Khan, kifungo cha miaka 14 jela kwa tuhuma za ...
RAIS wa Iran, Masoud Pezeshkian, amewasili nchini Urusi kwa mazungumzo na Rais Vladimir Putin na kusaini mkataba wa ...
WADAU wa Maendeleo mkoani Shinyanga wameeleza suala la kodi lianze kufundishwa mashuleni ili kuondoa kero na changamoto ...
RWANDA : RAIS wa Rwanda, Paul Kagame, ameilaani jamii ya kimataifa inayokosoa demokrasia nchini Rwanda, akisema inashindwa ...
MAOFISA Uchaguzi mkoani Mtwara wamepatiwa mafunzo juu ya uendeshaji na usimamizi wa zoezi la uboreshaji wa daftari ...
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo ikiongozwa na Mwenyekiti Husna Sekiboko imekutana na Uongozi wa ...
WATUMISHI wa Tume ya Utumishi wa Mahakama wa Mahakama wameagizwa kubaini na kuzitafutia ufumbuzi changamoto zinazotokana na ...
Akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Mpogolo ameungana na maafisa usafirishaji na viongozi dini katika dua ...
SERIKALI ya Mkoa wa Mtwara imesema viongozi wa vyama vya msingi 17 (AMCOS) waliohusika na upotevu wa korosho za wakulima na ...
WAASI wa Houthi nchini Yemen wametishia kushambulia Israel ikiwa nchi hiyo haitaheshimu makubaliano ya kusitisha mapigano ...