News

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kibiti, Juma Ndaruke, amewataka wanachama wa chama hicho kuweka maslahi ya chama mbele kwa kusaidia juhudi za kuhakikisha CCM inaendelea kushika dola.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga (katikati) akipongezana na Meneja wa Taasisi ya Tulia Trust, Jackline Boaz (kulia), mara baada ya kuhitinisha mbio za pole ikiwa ni maandalizi kuelekea ...