DAR ES SALAAM;  MWANASIASA  aliyepata kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga, Khamis Mgeja, amesema Mkutano Mkuu ...
RAIS wa Korea Kusini , Yoon Suk Yeol, amekataa kuhojiwa na wapelelezi baada ya kukamatwa kwa amri ya kutangaza sheria ya ...
SERIKALI imesema uwezo wa mitambo ya kufua umeme iliyounganishwa katika mfumo wa Gridi ya Taifa hadi kufikia Desemba 2024 ni ...
SERIKALI imeihakikishia Kampuni ya Magazeti Tanzania (TSN) kuendelea kuipa ushirikiano ili iendelee kuisemea kupitia ...
MAHAKAMA ya  Wilaya  ya Simanjiro mkoani Manyara imemshikilia aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya ...
DAR ES SALAAM: SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Shirikisho la Mpira wa Miguu la Ulaya (UEFA), na Shirika la Gavi ...
WAZIRI Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema baraza lake la mawaziri halitakutana kuidhinisha mpango wa kusitisha ...
MPENZI wa msanii wa Bongo Fleva, Juma Mussa 'Jux', kutoka nchini Nigeria, Priscilla Ojo, ametangazwa kuwa balozi wa taulo za ...
DAR ES SALAAM : SHIRIKA la Bima la Taifa (NIC) na Benki ya Equity wamesaini makubaliano ya ushirikiano wa kimkakati kwa ...
TANZANIA imezindua Tuzo za Tanzania Comedy Award kwa mara ya kwanza, lengo likiwa ni kutambua na kuthamini kazi za wasanii wa ...
DAR ES SALAAM: KIONGOZI wa Chama cha ACT –Wazalendo, Dorothy Semu ametangaza nia ya kugombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya ...
VIONGOZI wa vyama mbalimbali vya siasa wametakiwa kutoingilia mchakato wa uboreshaji wa daftari la kudumu la mpiga ...